Download nyimbo mbili mpya za Prezzo alizoachia nchini Nigeria.
![]() |
| Prezzo |
Na sasa ameachia ngoma mbili kwa mpigo, Naija Girl na Higher ambazo zote zina ladha ya kinaijeria. Cha kufurahisha zaidi kwenye nyimbo hizi mpya ni kuwa utamsikia Prezzo akiimba kwa mara ya kwanza and he sings pretty well by the way.
Naija Girl bila ubishi ni dedication kwa mrembo wake Goldie. Prezzo ameziachia nyimbo hizo kupitia website yake mpya aliyoizindua leo.
DOWNLOAD HAPA
http://www.iamprezzo.com/NaijaGirl.mp3
http://www.iamprezzo.com/LiqHer.mp3

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA