Header Ads

Breaking News
recent

ALEX MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA APATA AJALI MBAYA YA GARI.

Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa Stargame Alex Mgash jana amepata ajali mbaya ya gari.

Kwa mujibu wa pacha wake, Malonza, Alex alikuwa akisafiri kwenye gari na marafiki zake watatu mapema jana asubuhi kabla ya gari lao kupata ajali hiyo likiwa kwenye mwendo kasi.
Alex alipelekwa hospitali ya St. Johns. Miongoni mwa matibabu atakayoyapata ni pamoja na kufanyiwa upasuaji wa mguu na shingo ambayo imeteguka.
Source: ghafla.co.ke

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.