WANACHUO CHA UANDISHI WA HABARI 'AJTC' ARUSHA, WAKITEMBELEA CHUO CHA MAFUNZO KWA WALEMAVU 'USA RIVER' ARUSHA.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
| Wanachuo hawa wa chuo cha Uandishi wa habari Arusha (AJTC) wakiwa ndani ya chuo hichi walipewa vipeperushi, na hapa wanapitia pitia wakati ziara ikiwa inaendelea. |
| Wa kwanza kushoto ni Gadiola, mmiliki wa www.wazalendo25.blogspot.com ambaye ndiye aliyechukua picha za tukio zima akiwa na wakufunzi na wanafunzi wa vyuo vyote viwili wakiwa katika picha ya pamoja. |
| Hizi ni bidhaa zinazofanywa na walemavu wa chuo hicho. |
| Mitindo mbali mbali ya mavazi itengenezwayo chuoni hapo. |
| Kiongozi wa trip ya wanachuo hao akichunguza kwa makini baadhi ya kazi inayofanywa chuoni hapo. |
| Kiongozi wa wanachuo cha AJTC - akionekana pichani na wanachuo cha Ulemavu cha USA RIVER ARUSHA. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA