VIONGOZI WA UAMSHO WAFIKISHWA MAHAKAMANI ZANZIBAR.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Viongozi wakuu wa jumuia ya Muamsho wakiongozwa na Amir Farid wamefikishwa mahakamani mjini Zanzibar wakishtakiwa kwa kosa la kutoa tamko la uchochezi na kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA