Header Ads

Breaking News
recent

RAIS KIKWETE AKEMEA MAKUNDI, RUSHWA NA VISASI KATIKA CHAGUZI ZA CCM.

Asili Yetu Tanzania.Copyright
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Jakaya Kikwete amekemea vitendo vya wanachama wa chama hicho kujiingiza katika siasa za makundi, chuki,rushwa, vitisho na visasi katika chaguzi za ndani za chama hicho huku akiwataadharisha wagombea kuwa jumuia za chama hicho ni mali ya chama na si za mtu binafsi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.