Header Ads

Breaking News
recent

SPIKA WA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 'ANNE MAKINDA' AWASILI CANADA KUHUDHURIA MKUTANO.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

 

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika uwanja wa ndege mjini Quebec, Canada tayari kwa kuhudhuria mkutano wa 127 wa chama cha Mabunge Duniani (IPU) unaotarajia kufunguliwa rasmi kesho tarehe 21 Oktoba, 2012 na kumalizika 26 Oktoba . Makinda ameongoja ujumbe wa wabunge wanne kutoka Tanzania, ambapo zaidi ya maspika wa nchi 150 duniani wakiongoza ujumbe wa wabunge kutoka Nchi zao watashiriki mkutano huo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.