Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA WAKATI WA MAZISHI YA KAMANDA BARLOW NYUMBANI KWAKE MOSHI KILIMANJARO.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Mafundi wakiwa katika harakati za ujenzi wa nyumba ya milele (Kaburi) ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Marehemu Liberatus Barlow (RPC) huko kijijini kwao Kilema Kioo, Mkoani Kilimanjaro mapema leo asubuhi. Marehemu Liberatus Barlow (RPC) aliuwawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huko Kitangiri, jijini Mwanza hivi karibuni.

Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake Moshi.

Brass Band ya polisi ikiongoza msafara.

Mwili wa Marehemu ukiwasili nyumbani kwake.

Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu Kamanda Liberatus Barlow wakati ikiendelea.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.