PICHA ZA BIG BOSS RICK ROSS NDANI YA BONGO SERENGETI FIESTA 2012; - IMAGES FOR RICK ROSS IN TANZANIA. (FIESTA)
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Operesheni Meneja wa Prime Time Promotions,Balozi Kindamba
akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye gari tayari kuondoka kuolekea kwenye
hoteli waliopangiwa kufikia usiku huu,Shoto ni Rick Ross na akiwa na baadhi
wanamuziki wenzake aliombatana nao .
![]() |
| Rick Ross akiingia ndani ya gari usiku wa kuamkia leo kuelekea katika hotel aliyopangwa kufikia. |
![]() |
| Rick Ross ndani ya mkoko huu akielekea hotelini |
![]() |
|
Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani kiaina
akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu waliojitokeza
kumlaki The Big Boss mwenye Rick Ross.
|





No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA