Header Ads

Breaking News
recent

OMOTOLA, HAPPINES/MILLEN MAGESE NA JOCELYN. NANI ANAVUTIA KATIKA VAZI HILO MOJA?

Asili Yetu Tanzania.Copyright

                             JOCELYN - GHANA                               MILLEN MAGESE -    TANZANIA

OMOTOLA - NIGERIA
Nguo hizo zote tatu ni vazi moja ila limevaliwa na watu watatu tofauti yani kuanzia juu kushoto ni Jocelyn ambaye ni mtangazaji wa Talevisheni kutoka Ghana na kulia kwake ni Happiness / Millen Magese kutoka Tanzania na wamwisho chini ni Omotola muigizaji kutoka Nigeria.Kama ulivyoona nani kati yao amependeza katika vazi hili? Toa maoni yako hapa chini.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.