Header Ads

Breaking News
recent

MITINDO YA JEANS ZINAZOBANA KWA WANAUME NI HATARI - HUUWA NGUVU ZA KIUME: ASILI YETU BLOG

Asili Yetu © All rights reserved

 
Jeans zinazobana maarufu kama Skinny Jeans zimetajwa kuwa sababu ya kuwafanya vijana wengi kupatwa na matatizo ya uzazi kwa sasa.
Dr. Hillary Jones ndiye aliyeelezea kwa kina matatizo hayo yanayowamaliza uzazi vijana wengi sasa wakati akizungumza na Mtandao wa Global Grid.
Dr. Hillary amesema Jeans hizo zinazobana zinasababisha matatizo ya Kende kupinda ambapo kitaalam ni Twisted Testcles), Bladder weakness na maambukizi kwenye njia ya mkojo yaani Urinary Tract infections.
Matatizo mengine aliyoyataja ni pamoja na Kupungua kwa Manii (low sperm count) na maambukizi ya fangasi ambayo yote husababishwa na Jeansi hizo ambazo ndo zinaonekana kama Fassion kwa sasa na kupata umaarufu wa Majina likiwemo la kitaani ambapo zinaitwa Minyonyo.

Haya ni baadhi ya Maneno kutoka kwa Dr. Hillary
“I have seen several cases of Men who have twisted their Testicles due to wearing jeans that are far too tight. My advice would be make to sure you leave plenty of room around the groin area and that your pants and trousers feel confortable so you’re not being restricted  in any way. Wearing tight-fittin clothing over a prolonged period of time can lead to urinary tract infections leading to over-activity of the bladder-a type of Bladder weakness as well as low Sperm count and Fungal Infections. Please don’t put style before health.”

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.