Kitambo aliishika Tanzania na ngoma yake ya 'Sintobadilika'
ambayo alimshirikisha mkali wa sauti Q chilla, ingawa badae badae alifuataiwa
na ukimya kutokana na kubanwa na dili zingine nje ya muziki, sasa kupitia
teentz.com huu ndiyo ujio wake mpya 'enjoy'.
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA