KAMANDA WA POLISI MKOANI MWANZA AUWAWA NA MAJAMBAZI.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
![]() |
| Marehemu kamanda Liberatus Barlow. |
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa wakati wakumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili Mkoani Mwanza.
Taarifa kwa kina bado hazijaeleza mkasa mzima ulivyokuwa.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA