Header Ads

Breaking News
recent

JUSTIN TIMBERLAKE AFUNGA NDOA NA JESSICA BIEL, HUKO NCHINI ITALY.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Wana ndoa hawa ambao wote ni mastaa wa muziki na filamu, wamefunguka kupitia jarida  la "People Magazine" kuwa wanayofuraha kufunga ndoa huku wakiwa wamezungukwa na marafiki pamoja na ndugu na jamaa zao. Harusi ya Justin na mwanadada Jessica Biel imefungwa nchini Italy jana Ijumaa. Chanzo kimethibitisha kufungwa kwa ndoa hii, kwa Justin Timberlake mwenye umri wa miaka 31 na Jessica Biel 30.
                                                         Hapa ni wakati wa Engagement part.

                                                             Picha wakati wa Engagement part.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.