FidoVato ni msanii wa Hip hop kutoka katika kundi la wana hip hop la Vatoloco. Katika track hii jamaa amejieleza, na kufafanua kuhusiana na muziki wa hip hop Tanzania ulianzia wapi.
HIP HOP ACITY- FIDO VATO: ASILI YETU BLOG
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, October 02, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA