DOWNLOAD MIXTAPE, NAKALLA ZA MAKALLA ZA MSANII JCB (NEW TRACK BWII)
![]() |
| MSANII JCB - ANAYE TESA NA NGOMA YAKE MPYA YA (BWII). |
JCB ni msanii wa miondoko ya hip hop anayetokea Arusha pande za Kijenge juu. Mzee wa Nakalla za Makalla ni baba wa mtoto mmoja, anakubalika kwa kiwango kikubwa pande hizi Arusha, na kama unataka kuona ni jinsi gani JCB anakubalika pande za kaskazini basi fuatilia show anazopiga Arusha.
Katika kufuatilia kazi za msanii huyu nimegundua kuwa mara nyingi msanii JCB anapopanda stejini huamsha hali ya mashabiki wake kwa kiwango kikubwa, utadhani ndio kwanza show inaanza.
Kunasehemu moja pekee utakayokuta ngoma kibao za msanii JCB na ukadownload bure, yani mixtape/mixplate, Nakalla za Makala volume zote; usiwaze utazipata wapi bonyeza hapa www.eastafricantunes.com utakutana na ngoma za wasanii kibao. Na kikubwa zaidi katika EAST AFRICAN TUNES unaweza kutengeneza profile yako bure, ukaweza miziki yako uliyorecord na baadae ukanufaika.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA