BREAKING NEWS: AJALI YA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM - MWANAJESHI MMOJA AFARIKI DUNIA NA MWINGINE KUJERUHIWA .
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Kupitia kituo cha ITV na radio One, Kamanda wa jeshi la wananchi la Tanzania amethibitisha kufariki kwa mwanajeshi mmoja huku mwingine akiambulia kuwa majeruhi.
Baada ya ndege hiyo kupata hitilafu waliruka na mianvuli lakini kwasababu hawakuwa umbali wa kutosha, mianvuli hiyo haikuweza kufunguka, kitu kilichosababisha mmoja wao kutua katikakati ya lami na mwingine juu ya paa.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA