BAD NEWS KWA MASHABIKI WA LIL WAYNE.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Rapa Lil Wayne alipata homa ya ghafla, kitu kilichosababisha akimbizwe hospitali na kulazimika kulazwa. Katika maelezo yaliyotolewa na Blue Print Group ni kwamba msanii Lil Wayne alilazwa na kwasasa amekwisha ruhusiwa kurudi nyumbani, hivyo yuko katika mapumziko na sii muda sana atarudi katika game.
Lil Wayne ni miongoni mwa wasanii wa Hip Hop mwenye mauzo makubwa huku akiwa natayarisha album yake mpya baada ya mwisho aliyotoa miaka ya 2011 'Tha Carter IV'.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA