Header Ads

Breaking News
recent

ADELE MSHINDI WA TUZO ZA GRAMMY- AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Msanii aliyewahi kuongoza kwa tuzo za Gammy - Adele amejifungua mtoto wa kiume, ikiwa ni baada ya mchongo huu kusanukiwa na ripoti mbali mbali za vyombo vya habari vya  Uingereza na Marekani.

Nyota huyu wa muziki kutoka nchini Uingereza hivi karibuni alitangaza kuwa akiwaandikia ma fans wake katika mtandao wa Twitter kuwa ni mjamzito wa mchumba wake Simon Keneck.

Adele anayesemekana kuwa mama wa mtoto wake wa kiume aliyezaa na mchumba wake Simon, bado hajatamka lolote kuhusiana na uvumi huu.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.