Asili Yetu © All rights reserved
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ambaye pia ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amewaapisha mnadhimu mkuu wa jeshi la wananchi pamoja na mkuu wa jeshi la kujenga taifa katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar Es Salaam.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA