Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA VIVUTIO MBALI MBALI VYA ASILI VILIVYOKO KATIKA HIFADHI ZETU ZA TANZANIA.


     Swala ndio wanyama wanaoongoza kwa kuonekana wasafi mda woote katika hifadhi zetu za Taifa.

 Punda milia nao huonekana wasafi , huku wakipamba hifadhi zetu kwa rangi zao. Ni wanyama wanao wavutia wageni wawapo katika hifadhi zetu.

 Mara nyingi simba jike ndio hufanya mawindo kwa familia zao, na mawindo hayo huwa rahisi kando kando mwa mito wanyama wengine wanapokuja kunywa maji.

Hapa Simba hawa majike wakila kitoweo chao katika sehemu ya mto uliokwisha kauka maji.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.