Header Ads

Breaking News
recent

MISS UTALII 2012 KINONDONI NA ILALA KUFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM LAMADA HOTEL.

Asili Yetu © All rights reserved

 Jumla ya warembo 26 ,13 wa Ilala na 13 wa Kinondoni watachuana kuwania mataji ya Miss Utalii Ilala 2012 na Miss Utalii Kinondoni 2012katika ukumbi wa hoteli ya kitalii ya Lamada Hotel iliyopo Ilala Boma karibu na Msimbazi Centre  Dar Es Salaam Ijumaa Tarehe 14-9-2012 kuanzia saa 2.30 Usiku. Katika shindano hilo Bendi ya FM Accademia a.k.a wazee wa Ngwasuma na Bendi ya Muziki waTaarabu ya T Moto Watatumbuiza sambamba na Vikundi vya Ngoma za Asili na Muziki wa Kizazi Kipya. Viingilio katika shindano hilo ni VIP shilingi 30,000/= na Viti vya kawaidani Sh.10,000/=.





No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.