MAISHA PLUS KUFANYA LEO USAHILI WA MWISHO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO HILO PALE MILENIUM TOWER - KIJITONYAMA DAR ES SALAAM.
Asili Yetu © All rights reserved
Nafasi ya mwisho ya usahili kwa ajili ya kushiriki
shindano la Maisha Plus utakaofanyika jijini Dar es Salaam leo siku ya Jumatatu, Septemba 24
pale Millenium Tower, Kijitonyama.
Wale waliochukua fomu na ambao bado hawajachukua, wafike
Millenium Tower ghorofa ya kwanza waulizie KP Shop.
Kwa wale wenye ndoto ya kushiriki katika shindano hili mwaka
huu, Jumatatu ndio itakuwa siku ya mwisho kujaribu bahati yao kwani ukiikosa
itabidi usubiri mpaka mwakani.
Kwa wapenzi wa shindano hili stay glued to TBC1 kwasababu
soon burudani itakufuata sebuleni kwako.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA