Asili Yetu © All rights reserved
Baada ya msanii chipukizi wa kizazi kipya kupata misuko suko ya hapa na pale, ikiwa ni pamoja na kuondoka Tip top na kuweka kambi Mtanashati Intertainment, Dogo Janja amemshukuru Mungu kwa kutimiza umri wa miaka 18 leo hii.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA