Asili Yetu © All rights reserved
Wananchi wakifurika katika viwanja vya chuo cha ufundi Arusha kuushuhudia Mwenge waUHURU leo mjini Arusha.
Tayari Mwenge wa Uhuru ulikuwa umeshashushwa chini katika viwanja vya NHC kushuhudiwa na wananchi wa Arusha.
Hapa ni viongozi wa Mwenge wa Uhuru wakitoa muongozo wa jinsi ziara hii itakavyokwenda.
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru alipata nafasi ya kusema machache kwa wananchi ambapo kaulimbiu ni "SENSA KWA MAENDELEO JIANDAE KUHESABIWA".
Mwananchi miongoni mwa walioteuliwa kuulaki mwenge wa UHURU leo mjini Arusha.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA