Wednesday, May 14 2025

Header Ads

'JEMBE LA KASKAZINI' BRAND NEW TRACK DROPED BY "BOUNAKO"

All rights reserved to Asili Yetu.



 Mzee mzima D Double anayejulikana vyema zaidi kama BouNako a.k.a Jembe la kaskazini anadondosha dudeee brand new kwa fans wote wa hip hop duniani.. Hii ndio "Jembe la kaskazini"(download hapa), ikiwa ni single inayofuata "Mara Hoo" ambayo imefanya vema mtaa na media kwa miezi mitatu iliopita, "Game ni gumu tangu enzi za baba zetu lakini kukata tamaa sio suluhu wala haisaidii, nakomaa kwa maana mashabiki zangu ndio wanaonipa nguvu ya kutifua" hii ni zawadi kwenu kwa support yenu kununua T-shirt za J.E.M.B.E . Iko wazi mimi sio kitu bila ninyi, sikilizieni more tingz zinakuja "walete" pamoja na "acheni"..

Leave a Comment

Powered by Blogger.