PICHA ZA WASHINDI NA WADAU WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA 2012
| Mdau wa muziki nchini, muda mfupi baada ya kuwasili katika tuzo za "Kilimanjaro Tanzania Music" akiwa ni mmoja kati ya wadau maalum walio alikwa katika tuzo hizo. |
| Ali Kiba akiwa na dada yake pembeni wakati alipo twaa tuzo ya wimbo bora wa zuku rumba..."Dushelele" |
| Roma akiwa na Izzo B baada ya kuchukua tuzo ya wimbo bora wa Hip hop na baada ya muda mfupi pia alinyakua tuzo ya msanii bora wa Hip hop. |
| Diomond akitoa shukurani za dhati kwa familia yake pamoja na mashabiki wake baada ya kukabidhiwa Tunzo kutoka kwa msanii Chid Benzi.Diomond aliongoza kwa kupata tuzo tatu. |
| Gadna G Habash akimuwakirisha mkewe Lady Jay dee wakati wa kupokea tunzo yake. |
| Adam Mchonvu a.k.a Baba Jonii akijiandaa kumpatia tuzo msanii Barnabar |
| Barnabar akitoa shukurani baada ya kukamata tuzo yake. |
| Khadija Kopa |
| Isha Mashauzi (mkurya wa kwanza kuimba taarabu) akimikamata tunzo ya wimbo bora wa taarabu. |
| Queen Darlin akitoa shukurani kwa mashabiki baada ya kukabidhiwa tuzo ya wimbo bora wa Ragga/dancehall. |
| Worrier From The East wakiwa wameshikilia tunzo ya wimbo bora wa Rege (Arusha gold). |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA