Header Ads

Breaking News
recent

KWAITO MPYA (Loop It) 'Rudbwoi Batoo', SPECIAL KWA KUPART

All rights reserved to Asili Yetu.

Rudbwoi Batoo



 Pata kusikiliza kwaito jipya la Rudbwoi Batoo toka pande za Chuga town,ikiwa ni noizmekah.com exclusive kwaajili ya party goers wote Tanzania. Hii pia ni kwa hisani ya JamDropa Deejays,Dj Mido & Deejay P..Projects zetu kama kawaida zinaendelea,nikiwa kama event organizer ningependa kutoa big up kwa Hip hop City a.k.a ChugaTown kwa kusupport wasanii wao kila 2napoandaa jam session pande zetu!!! 

Hii kwaito ni project ya kwanza katika Jam Dropa Riddim Vol 1,ambayo inasimama kwa ukaribu zaidi na "Batoo Entertainment" ,Artist yeyote atakaye feel kurecord kwenye this beat awasiliane nasi kupitia page yetu ya "Batoo entertainment" katika facebook kisha 2tamtumia beat kwaajil ya kurecord!! Much respect kwa media zote including websites & Blogs,Jaaaaaah blesssss!!!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.