All rights reserved to Asili Yetu.
Kutokana na kuweweseka huko, Shilole alisema alijaribu kufanya jitihada za kuzifuta lakini aligonga mwamba kwani zinafutika baada ya miezi sita.
“Najuta kwa nini nilijichora hizi tatuu za nyoka na mwewe kwa sababu zinanyima usingizi, nimejaribu kuzifuta lakini hazifutiki hivyo nasubiri zifutike taratibu maana sina la kufanya tena”, alisema Shilole.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA