All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
| James Cameroon baada ya kurejea juu ya ardhi. |
James Cameroon director wa movie ya TITANIC amerejea kutoka chini ya bahari ya Pacific baada ya kuzania kwa kutumia takribani masaa mawili na kufanya utafiti zaidi ya masaa matatu huku akiwa ameenda umbali wa kilometa 11 sawa na maili 7 chini ya bahari.Akizungumza na BBC James alisema aliamua kuweka maisha yake hatalini ili kujua changamoto wanazokumbana nazo wazamiaji wa naoenda huko kwaajiri ya utafiti.
James amerejea kutoka chini ya magharibi ya bahari ya PACIFIC.James Cameroon ameweka historia baada ya muda mrefu tokea chombo cha jeshi la marekani kwenda chini ya bahari mwaka 1960 chini ya Don Walsh na Swiss oceanographer Jacques Piccard.
Muongozaji wa filam ya TITANIC James Cameroon na jopo lake la maingeneer walitengeneza chombo walichotumia kinachofahamika kama "Deepsea Challenger",kwa miaka kadhaa iliyopita.Chombo hicho kina uzito wa tani 11 na ukubwa wa mita 7 (futi 23)![]() |
| "Deepsea Challenger",chombo alichotumia James Cameroon |
![]() |
| James Cameroon akiwa ndani ya chombo. |



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA