Header Ads

Breaking News
recent

HII NDIO NYUMBA ALIMOFIA MICHAEL JACKSON (AMBAYO KWA SASA INAUZWA)

All rights reserved to Asili Yetu.

Katika nyumba hii ndimo mfalme wa muziki wa pop Michael Jackson alikofariki.Kwa habari zilizopo kwa sasa, nyumba hii yenye vyumba vya kulala saba, bafu13,chumba cha movie, gym na bwawa la kuogelea pamoja na vingine vingi inasekana inauzwa kwa kiasi cha dola 23.9m na baadhi ya mastar wamevutiwa kuinunua.

 Nyumba hiyo ilijengwa mnamo mwaka 2002 huko magharibi mwa wilaya ya Holmby Hills Los Angeles nchini Marekani, ikijumuisha zaidi ya ukubwa wa 17,000 square feet (1,580 square meters).


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.