Header Ads

Breaking News
recent

BAD BOYS IN THE INDUSTRY ARE HERE.

All rights reserved to Asili Yetu.

LEFT: Def Xtro (Noise Mekaz), Nisher Bybee (NISHER ENTERTAINMENT), Gentriez Mwakitabu, Eric(MJ.Fm Manager

 Nisher Record, ni studio mpya ya kisasa  ya muziki iliyoko A Town au Arusha, watu wengi sasa wanapata nafasi ya kuitembelea studio hii na mwisho wanatia stamp ya kukubali mpango mzima.Mimi nimepata mwaliko so one time nikienda nitawambia whats good are there.Lakini pia kama wewe ni msanii au mdau wa muziki au fashion model unaweza kufika hapo Nisher Record ufanyiwe kazi classic.

Kikubwa zaidi sijui niseme kadri siku zinapozidi kwenda napata suprise tamu kama hii, Namuona hapa Def Xtro, hii inaonyesha ni jinsi gani anajali taaluma yake ya producer na kutoa support kwa wenzie, every day i will appreciate producerDef Xtro Def Xtro wa Noiz Mekah kwa ushilikiano wote anaotoa kwangu (Asili Yetu blog) na media zote hapa Arusha. Thanks!

1 comment:

  1. mzuka kwa sana. Nisher Records is off the hook..boy makes Arusha proud.

    ReplyDelete

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.