All rights reserved by Victor Machota.
 |
Bounako (Jembe) |
 |
Fido,Bounako na Jeez Mabovu. |
Bounako anakanyagia na Brand new Joint aliomshirikisha JCB from Watengwa,Ngoma hii ni exclusive kwa wafuasi wa hiphop all over," title ya pini ni 'Mara Hoo" ikiwa ni hardcore joint yenye kulenga tabia za wanafki na ma-snitch.
Ngoma hii itatoka sambamba na ile ya "Jembe la Kaskazini" ikiwa ni muendelezo wa harakati za kuuza Tshirt zangu ,'Nashkuru kwa support ninayopata toka kwa wanangu na pia nimesharekodi ngoma na FidoVato pande za noizmekah.com chini ya Defxtro, ngoma imepewa jina "I'ma Gangsta",so mchakato mzima wa mixing ndio unaendelea studio kwahivyo ujio wa collabo hiyo ambayo pia zipo sauti toka kwa Moplus,GeezMabovu,Lavosti Frost na Maspray" asema BouNako a.k.a. Jembe la Kaskazini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA