Tyrol Alison Swift mwimbaji mahili wa kike ambaye amekwishapata tuzo mbali mbali za muziki wa country, ikiwemo tuzo za mwanamuziki bora wa kike, albamu bora ya country na tuzo nyingine nyingi, ameahidi kuja kivingine tena ndani ya mahadhi ya country.
Swift amefunguka kuwa siku hadi siku anakuwa au anapanda kisanaa, na katika kudhihilisha hayo ni kufuatia album yake mpya atakayo idondosha kwa mashabiki wake mapema mwaka ujao wa 2012.Mwana dada huyo mrembo aliendelea kusema amekwisha andika nyimbo 10 hadi sasa japokuwa nyimbo hizo zitakuwa za huzuini....
"They're sad, if I'm being honest. I write songs, and my voice is just a way to get those lyrics across." Huyo ndiye Tylor Swift mwanamuziki wa country pop ambaye alizaliwa Wyomissing, Pennsylovenia Amerika, Desemba 13. 1989 (21), Album yake ya kwanza ilimpatia tuzokutoka katika kampuni yatuzo za muziki ya Grammy (50) 2006 kwa mwanamuziki mpya wa country na album hiyo ilifikia mauzo ya mult- platnum nchini Marekani.
Pia mwaka 2008 mwezi Desemba, alidondosha album nyingine iliyofahamika kama Fearless, ambayo ilifanikiwa kupata tuzo ya Album ya mwaka kutoka katika kampuni ya tuzo za Grammy ya (52).
JISIKIE NDANI YA "Chima B blog"
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA