Friday, May 2 2025

Header Ads

Breaking News
recent

MASADALI CAMP NA PINI JIPYA...."FOOLS SAY".

Masadali camp toka Rchuga waliowahi kutoka na ngoma kadhaa ikiwemo,"wakilisha","tutang'ang'ania mic" na pia nyimbo ya "Amani" bila kusahau "Nafeel hiphop" sasa wanakuja na pini lao jipya kabisa la "FOOLS SAY", lilorekodiwa pande za noizmekah studios chini ya producer defxtro..

Kundi hili linaundwa na ma MC watatu-Rolion, Maskillz na Super baster, Hip hop haijafa mazee ni support tu iongezwe, mashabiki zetu watupokee katika game kwenye kazi hii mpya na zingine zijazo ikiwemo single tutakayo rekodi baadae ya "rules may change"   na pia project Album ambayo tutaiita "Outmitted"...

Leave a Comment

Powered by Blogger.