Header Ads

Breaking News
recent

HIP HOP A TOWN : VATOROKO NA TRACK MPYAAA! "SITUATIONS"

Kundi la hiphop toka arusha,Vatoloco soldiers wakiongozwa na FiDO
wanakuja na brand new track toka noizmekah inayokwenda kwa jina la
"situations",ngoma inayozungumzia maisha na uhalisia wa msoto ndani ya
mtaa,"hiphop ndo  maisha yetu everyday na revolution goes on and
on, Mafans wategemee album yetu ya "Ungalimi to Queens" hivi
karibuni", asema FiDO.Kama kawaida chorus  kasmamia "Lavosti" na verse
ya pili "Ibra da Husla", naVerse ya tatu kakanyagia "Bobray"...Harakati
zingine mbali na kurecord audio za kumalizia album ni video shooting
ya nyimbo kadhaa na leo 2namalizia video ya "Situations" chini ya
camera za hoodpixx kwa usimamizi wa m2 mzima DEFXTRO wa noizmekah..
Kundi zima la VATOROKO kutoka Arusha.Ngoma ni kali sana coz nimesikilizishwa so ina kila sababu ya kuitwa "SITUATIONS" so big up guys pamoja na man DX producer kutoka "NOIZMAKAH".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.