Header Ads

Breaking News
recent

Congratulation for the best results in your exams!!! Bravoo!!

Pichani ni Prisca David Keregese akiwa katika pozi safi kabisa, baada ya kujiachia na camera ya Chima B blog.Baada ya kung'alishwa na mama yake mzazi Rachel Daniel kutoka Mwanza, so anajitahidi kudesign mitoko yake.Bravoo mama Prisca.Hongera saaaana kwa kuwa wa kwanza katika  mtihani.

Huyu ndiye pacha wa Prisca anaitwa Steven David Keregese, yeye aling'alishwa na mzazi wake David Keregese, na ni mpenzi wa mpira ha!ha!haaa!! chama lile lile la baba yake "Liverpool" huenda nikampa offer ya kuonekana tena ametinga uzi wa Liverpoor .Hongera pia kwa kufanya vizuri katika mtihani!!!!
Ni Prisca David Keregese akiwa katika muonekano mwingine tofauti.

Hongera sana bana kwa kushine, mzee Steven David Keregese.

She is Prisca David Keregese in a good look!!!
Angel in front, then Tedy, Steven, Nyabura then the last one is  Nyamahemba.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.