| Mabinti walionyesha swaga zao hadharani |
| Mtangazji wa radio 94.8 Sunrise Fm, Mazuke a.k.a "AMX" akiongoza mashindano ya kudance |
| Wakiwa kwenye tabasamu bomba kabisa ni Presenters wa Sunrise Fm (Aspire Media Company Ltd.) |
| Mwijage na Mtangazaji mwenzake wakijipanga kutoa shoo ya ukweeeeeeli |
| Tayari wamekwisha anzaaaaaa! |
| Dah! hizi swaga zilimshangaza mpaka mlinzi!!!!! |
| Maonyesho ya nane nane yalionyesha sura mpya baada ya Mtoto huyu kuanza kuonyesha kipaji chake. |
| Kwa umri alionao aliwashangaza watu kwa big shoo alioionyesha |
| Nyonga zilinyongwa mwanzo mwisho. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA