Header Ads

Breaking News
recent

BAADHI YA MY PHOTO

Ukiangalia vizuri kabisa katika hii picha utaona kuna picha ndogo ambazo zimewekwa katika ramani yetu ya Tanzania.Ni moja ya snap ambayo rafiki yangu ameipenda na kunishwishi niitupie kwenye blog hii.Pichani hapo alinieleza kuwa baadhi ya watangazaji walio onekana hapo kwenye hii picha ni baadhi tu, ya wale watangazi anao wakubari!!!!!



No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.