Video | Snoop Dogg Ft. Charlie Wilson – One More Day
Snoop Dogg ameachia video mpya inayoitwa “One More Day”. Wimbo huu wa video
amemshirikisha Charlie Wilson. Katika mwezi wa pili, Snoop Dogg amekwisha achia nyimbo 5 kutoka katika album yake ya “Bible Of Love“.
PAKUA BURE NA KUSIKILIZA VIPINDI VYETU VYA REDIO HAPA>>> DOWNLOAD MP3
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA