Monday, May 19 2025

Header Ads

Vanessa Mdee na Sauti Sol Kuwania Tuzo za Headies 2018.

Msanii Vanessa Mdee kutoka Tanzania na Sauti Sol kutoka Kenya ni moja kati ya wasanii kibao watakaowania Tuzo za 12 za Headies 2018 zinazotarajiwa kufanyika Eko Hotel & Suites mwezi May 5, 2018 Lagos, Nigeria

Wasanii hawa kutoka Afrika Mashariki wanawania kipengele cha Wasanii bora Afrika wakiwa na wansanii kama Sarkodie, Nasty C na Cassper Nyovest.

Wasanii wengine ni Davido, Wizkid, Olamide, Tiwa Savagea na Simi ambao watawania kipengele cha wasanii bora wa mwaka.

PAKUA BURE NA KUSIKILIZA VIPINDI VYETU VYA REDIO HAPA>>> DOWNLOAD MP3 

Leave a Comment

Powered by Blogger.