Header Ads

Breaking News
recent

Wizkid Awaomba Mashabiki Wake Wampe Mbuzi Wake Jina.

Mastaa wengi duniani wamekuwa na wanyama wao katika familia zao huku wakiwapa maisha ya juu hata kuliko binadamu wa kawaida. 

Sasa kupitia mtandao wa Twitter msanii star kutoka Nigeria, Wizkid ameweka post ya mtoto wa mbuzi na kumkaribisha kwenye familia, huku akiwaomba mashabiki kumpatia mbuzi wake jina>>> "Welcome to da family. Help me with names...".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.