Hot 112 Radio Show | Mtandao wa 4G Kutinga Mwezini | Sikiliza Hapa.
Harakati za Wanasayansi bado zinazidi kupanua wigo hadi nje ya dunia, sasa safari hii kipindi chetu cha Hot 112 Radio Show kimekuletea stori kuhusu Wanasayansi kupeleka Internet ya 4G Mwezini. Sikiliza hapo chini>>>>
SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA