Header Ads

Breaking News
recent

Travis Scott na Kylie Jenner Wapata Mtoto wa Kike.

Stori za Kylie Jenner, 20, kuwa na ujuauzito wa msanii Travis Scott ,25, zilianza kuvuma mwezi wa tisa mwaka jana, lakini wawili hao hawakuweka wazi mambo, lakini sasa wametangaza rasmi kuwa Wamepata Mtoto wa Kike siku ya Alhamis Feb 1 majira ya saa 10:43 jioni. Soma hapo chini ujumbe wa Kylie Jenner Instagram.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.