Snoop Dogg Ameachia Nyimbo 5 Kutoka katika Album Yake Mpya ya Gospel - “Bible of Love”
Gospel Album mpya ya msanii Snoop Dogg inayofahamika kama ‘Bible of Love’ itaachiwa rasmi mwezi March 16 na itakuwa na nyimbo 32 huku ikiwashirikisha baadhi ya wasanii wa muziki wa Injili.
Leo, ameamua kuachia nyimbo 5 ukiwemo wimbo mmoja wa video uliopo katika album hiyo, wimbo unaitwa “Words Are Few“. Utizame hapo chini na nyimbo hizo 5.
Leo, ameamua kuachia nyimbo 5 ukiwemo wimbo mmoja wa video uliopo katika album hiyo, wimbo unaitwa “Words Are Few“. Utizame hapo chini na nyimbo hizo 5.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA