Video Mpya ya Nako2Nako - 'Hardcore'.
Kundi la muziki wa hip hop la toka kitambo kutoka Jijini Arusha maarufu kama Nako2Nako baada ya ukimia wa miaka mingi sasa wamerejea na video mpya, wimbo unaitwa 'Hardcore'.
SIKILIZA KILICHOMKUTA BWANA MMOJA ALIYEJIZUIA KUPIGA CHAFYA, ni hatari!!!. Bonyeza hapa>>> DOWNLOAD MP3

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA