Video: Bruno Mars (Ft. Cardi B) – 'Finesse' (Remix).
Bruno Mars ameanza mwaka na kuachia vitu vipya, ambapo leo ameachia official remix ya wimbo wake unaoitwa “Finesse“ aliomshirikisha Cardi B. Original ya wimbo huu unapatikana pia katika album ya Bruno Mars’ ‘24K Magic‘. Itizame hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA