Header Ads

Breaking News
recent

Picha | Justin Bieber Akiwa na Mama yake Mapumzikoni Baada ya Kutofautiana kwa Muda Mrefu.

Ni baada ya muda toka Justin na mama yake Pattie Mallette, kutoenda sawa, lakini mamayake amepost picha hii mtandaoni na kuonesha kabisa mambo ni mazuri baada ya kuonekana wako mapumzikoni pamoja huku akidondosha ujumbe huu>>> “I’m so proud of the amazing young man you are, and the young man you are becoming.
None of us are perfect and never will be, (so we will always need patience and grace for each other), but your genuine growing relationship with Jesus is evident in the choices you are making daily and the good ‘fruit’ you bear. I admire your character and integrity.”
SIKILIZA MAAJABU YA PAMPU ZA KUKAMULIA MAZIWA YA BINADAMU. Bonyeza hapa>>> DOWNLOAD MP3

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.