Header Ads

Breaking News
recent

Msanii Mary J. Blige Amepata Tuzo ya 'Star' kutoka Hollywood Walk of Fame! .

 Msanii kutoka Marekani na mkongwe katika muziki wa  Hip-Hop Soul kwa miaka mingi, katika kutimiza miaka 47 ya kuzaliwa, Mary J. Blige amepokea tuzo ya NYOTA kutoka Hollywood Walk of Fame!
Mary J. Blige amesherehekea siku hiyo na familia yake pamoja na marafiki zake kama Diddy, Tyrese, Andre Harrell na Angie Martinez.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.