Header Ads

Breaking News
recent

Happy Birthday Victor Machota, Mtangazaji wa Redio mwenye uwezo wa pekee!!

Ni January 12 ndipo dunia ilimpokea Victor Machota a.k.a Chotta Boy mtangazaji wa Radio na Tv mwenye sauti na uwezo wa kipee katika tasnia ya vyombo vya habari Tanzania, Asili Yetu Tanzania kwa kutambua mchango wake katika tasnia ya habari akiwa pia ndiye muanzirishi wa blog hii, tunamtakia Kheri ya Sikukuu ya kuzaliwa kwake.

Tumsikie yeye mwenyewe amesema nini katika siku yake ya kuzaliwa>>> "Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai hadi sasa, nawashukuru Wazazi wangu, Mungu awatunze, nawashukuru watumishi wote wa kiroho wanaoniombea kila kukicha na pia nawashukuru mashabiki wangu wote toka Redioni hadi hapa kwenye blog, nawapenda wote" Asante!!

Hayo ndiyo aliyopata kuyazungumza Victor, lakini tumeona nivyema katika huu mwaka wa 2018, tutakuwa na ukurasa maalum wa kuweka hitoria na mtizamo wa huyu mkali wa mic (mtangazaji) ili tuweze kujua zaidi alianzia wapi hadi sasa amefika wapi ili kuwaonesha njia watangazaji wanaochipukia na hata kuwapa changamoto watangazaji wengine. Asanteni!!

SIKILIZA VIPINDI VINGINE HAPA>>> RADIO SHOWS

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.