Header Ads

Breaking News
recent

AUDIO: Sikiliza Vituko vinavyotokea kwa Abiria katika Safari za Ndege Utacheka. (Hot 112 Radio Show)

Bado Mwaka 2018 unazidi kupendezeshwa na kipindi cha Redio cha Hot 112 Radio Show, ambapo leo umeletewa visa viwili vya nguvu vilivyotokea katika safari za ndege nchini Marekani.

Ndege imekuwa ni usafiri wa haraka zaidi lakini unaozingatia mashariti zaidi katika kufanya safari zake, sasa unajua nini kimetokea kwa abiria hawa?. Bonyeza hapa>>> DOWNLOAD MP3
SIKILIZA VIPINDI VINGINE HAPA>>> RADIO SHOWS

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.